Thursday, 23 October 2014
TUZO KWA SIMBA WA SERENGETI, TANZANIA
Taswira murua ya simba wakiwa wamepumzika kwenye majabali huko Serengeti imeshinda tuzo ya picha Bora ya Mwaka ya Wanyamapori 2014 (WPY).
Michael "Nick" Nichols alikuwa akiwafuatailia kwa miezi sita kabla ya kupiga picha hii ya kipekee.
WPY ina miaka 50 sasa, na ni miongoni mwa mashindano makubwa ya picha duniani.
Kupata habari zaidi, bonyeza link ifuatayo, http://www.bbc.co.uk/news/science-environment-29701853
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment