Hisibati na Sayansi ni masomo
yasiowavutia sana watoto, lakini Tanzania mtazamo huo unabadilika. Ubongo kids
ni vibonzo vya elimu burudani,ya kwanza kwa Tanzania, inayofundisha watoto
hisabati na sayansi kwa njia ya wanyama wanaoimba. Kipindi kinatazamwa na zaidi
ya watoto milioni moja. Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela anasimulia.
Hii ni hatua kubwa kwa matumizi ya teknolojia kuendeleza vipaji. Hakika faida zake ziko wazi kabisa.
ReplyDelete