Foleni ya magari katika miji mingi barani Afrika ni jambo la kawaida, na
linalolalamikiwa kila mara. Kumekuwa na jitihada mbalimbali kujaribu
kukabiliana na hali hiyo. Abiria pia wanatafuta njia zao kujaribu
kuepuka foleni. Salim Kikeke ametembelea Dar es Salaam, na kushuhudia
tatizo hilo, na suluhu inayotafutwa
No comments:
Post a Comment