Utafiti mkubwa wa kisayansi umesema virusi vya HIV
vinapungua makali kadri muda unavyoenda. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford
wamegundua hilo baada ya kuwachunguza mamia ya wanawake nchini Botswana.
Kufahamu zaidi , Jo-Angeline Kalambo, mtaalam wa afya ya jamii katika
shirika la Global Fund linaloshughulikia ukimwi, malaria na kifua kikuu, alihojiwa
na BBC Dira TV mwanzo akitoa maoni yake kuhusu utafiti huo.
No comments:
Post a Comment