Kashfa ya TegetaEscrow inazidi kufukuta nchini Tanzania. Mbunge wa
Kigoma Kaskazini (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) leo aliwasilisha ripoti ya uchunguzi katika
bunge la nchi hiyo. Katika matangazo ya Dira ya Dunia TV, Zuhura Yunus
alimhoji mbunge huyo kujua zaidi.
No comments:
Post a Comment