Alhamsi wananchi wa Uskochi watapiga kura ya maoni kuamua iwapo wajitenge
na Uingereza au la. Wananchi watajua ikiwa Uskochi itajiondoa kutoka
muungano na Uingereza, muungano ambao umedumu kwa miaka 307.
Hadi sasa kura
ya maoni inaonyesha kuwa kuna ushindani mkubwa kati ya wanaotaka
muungano kuvunjwa na wale wanaotaka muungano kusalia.
Peter Musembi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC anakufahamisha zaidi
No comments:
Post a Comment