![]() |
Javier Hernandez anaweza kutimkia Real Madrid |
West Ham United nao wamegeuza kibao kwa mlinzi wa Manchester City Micah Richards.
Richards, 26, anajiandaa kujiunga Fiorentina kwa mkopo. Mshahara wake utakuwa pauni 75,000 kwa wiki, Micah ameonekana kuwa tatizo kwa Hammers.
![]() |
Baada ya West Ham kugoma kumnyakua Fiorentina wameonyesha nia na Micah Richards |
Baada ya West Ham kugoma kumnyakua Fiorentina wameonyesha nia na Micah Richards.
Lakini sasa tunasikia kwamba mchezaji Nick Powell wa Man U anatarajiwa kuhamia Leicester kwa mkopo.
Baada ya tetesi kwamba mshambuliaji Radamel Falcao atajiunga na Real Madrid kugonga mwamba, inaonekana kwamba Manchester City ndio wako mbioni kumnyakua.
![]() |
Radamel Falcao anaweza kuondoka Monaco na kwenda Etihad |
Real Madrid. Hapana. Radamel Falcao anaweza kuondoka Monaco na kwenda Etihad.
Hata hivyo Alvaro Negredo amefunguliwa mlango na kwenda Valencia, na kutoa nafasi City kwa ajili ya kumleta mshambuliaji wa kati.
Arturo Vidal na Danny Welbeck nao pia wanaweza kuondoka kwenye vilabu vyao.
![]() |
Kiungo wa Juventus Arturo Vidal anauzwa kwa ada ya pauni milioni 30
|
Dirisha la usajili kufungwa saa 5 usiku leo Jumatatu.
Taarifa za usajili zitaendelea kukujia.
Chanzo: taarifa.co.tz
No comments:
Post a Comment